Wakazi wa Kijiji cha Ruhokwe, kilichopo katika Kata ya Mnolela, Halmashauri ya Mtama – Lindi, wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa zahanati ili kuondokana na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya ambazo wamekuwa wakipitia kwa muda mrefu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)