“…Yanga is the best team”.
Kikosi cha Yanga SC leo kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa KMC Complex kuelekea mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons, Aprili 4.
Kuhusu ‘tizi’ lililopigwa leo, huyu hapa meneja kitengo cha ‘digital’ cha timu hiyo, Abiudi Shayo ‘Privaldinho’ ambaye anasema jua ni kali, lakini ni hali inayowajenga wachezaji kuelekea mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons.
Privaldinho pia anachambua takwimu zao dhidi ya Tanzania Prisons akisema Jumamosi wanakenda kutafuta goli la 20 dhidi ya Wajelajela hao.
#NBCPremierLeague #NBCPL #YangaSC #Privaldinho
(Feed generated with FetchRSS)