MZIZIMA DERBY: “….ni mechi iliyonipa matatizo, nikafungiwa na Simba”
Nyota wa zamani wa Simba SC, Musa Hassan ‘Mgosi’ anaeleza ugumu wa dabi ya Mzizima huku akikumbushia jinsi ilivyowahi kumsababishia matatizo.
Mgosi anasema mechi ya Aprili 5 ina mvuto wa aina aina yake kutokana na vita ya kuwania nafasi za juu zaidi kwenye msimamo wa ligi na itakuwa ni tofauti na zote zilizopita.
Je, wewe unaikosaje hii???
Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia sasa Kisimbuzi chako kwa kifurushi cha shilingi 28, 000/ tu!!
✍️ @amosimasokotz
#NBCPremierLeague #NBCPL #MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba
(Feed generated with FetchRSS)