SIMBA SC vs COASTAL UNION: “…tunahitaji silaha yetu ya uhakika”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally aita mashabiki kwenye dimba la Meja Jenerali Isamuhyo kuisapoti timu katika mchezo wao dhidi ya Coastal Union…

Naye Afisa Habari wa Coastal Union, Hussein Mchomvu anasema kuna coaster tatu za mashabiki kutoka Tanga….

Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #NBCPL #SimbaSC #CoastalUnion #SimbaCoastal

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *