#MzizimaDerby “….Azam FC ina saikolojia ya timu ndogo”

Amri Kiemba anaeleza ni kwanini anaiona Azam FC kuwa na tabia za “timu ndogo”, akigusia hamasa ambayo huzisukuma Yanga na Simba kusaka matokeo ya ushindi pekee kwenye mechi zote.

Hii ni kuelekea Dabi ya Mzizima, Azam FC vs Simba SC Aprili 5;

Je, siku hiyo Azam FC wataonesha tabia gani??

Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia sasa Kisimbuzi chako kwa kifurushi cha shilingi 28, 000/ tu!!

✍️ @amosimasokotz

#NBCPremierLeague #NBCPL #MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *