#MICHEZO: Raphinha amerejea katika Klabu ya FC Barcelona baada ya kukosa michezo kadhaa kutokana na majeraha. Winga huyo wa Brazil sasa ameanza mazoezi kwa lengo la kurejea uwanjani haraka iwezekanavyo.

Raphinha anajitahidi kuwa fiti kabla ya mchezo mkubwa wa El Clasico utakaochezwa Mei 10 dhidi ya Real Madrid. Mchezo huo ni muhimu sana kwa Barcelona katika mbio za ubingwa, na kurejea kwake kunatarajiwa kuipa timu nguvu zaidi safu ya ushambuliaji.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *