SIMBA SC: “…tumekuja na kikosi kizima….tuko tayari kwa mapambano”.

Kikosi cha Simba kimepata mapokezi ya nguvu baada ya kuwasili Jijini Arusha kuelekea mechi tatu mfululizo watakazocheza kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid, wakianza na TRA United, Aprili 9.

Meneja wa kikosi hicho Patrick Rweyemamu, sababu za baadhi ya wachezaji kubaki Dar es Salaam na kufafanua pia kuhusu uamuzi wao wa kucheza mechi zao zote tatu kwenye huo “…licha ya kwamba wote tutakuwa tuko ugenini”.

Nao mashabiki walioitika ‘airport’, wametoa neno..

Hii hapa taarifa ya Ramadhan Mvungi kutoka Arusha..

✍️ @amosimasokotz

#NBCPremierLeague #SimbaSC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *