NBC Premier League kuendelea leo Alhamis kwa mechi mbili zote kupigwa saa 10:00 jioni.

Katika dimba la Tanzanite Kwaraa wenyeji Mbeya City kuwakaribisha Azam FC.

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, TRA United kuwaalika Simba SC.

Hii ni mechi ya kiporo je ni wakusanya mapato TRA ama Mnyama nani kukila kiporo hiki?

Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#NBCPL #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *