Kijana mmoja ambaye majina yake hayakufahamika kwa haraka anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35- 40 mkazi wa Singida, amekamatwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Mkoani humo akifanya utapeli kwa wananchi kwa kuchukua fedha na kuwaahidi kuwatafutia nafasi za kujiunga na Jeshi, akijitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)