AZAM FC vs JKT TANZANIA:”Haitakuwa mechi rahisi kwetu na kwao pia…”- Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi cha timu yake kimefanya maandalizi imara kimbinu na kimwili kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaochezwa kesho Aprili 17, 2026 dhidi ya Azam Fc.

Kocha Ahmad amesema watatoa ushindani kutokana na ubora wa Azam na watatumia nafasi hiyo kujifunza.

Kwa upande wa nahodha wa kikosi hicho Edward Songo amesema wachezaji wamejiandaa vema kuzipigania alama tatu.

Mchezo huo utapigwa kesho Aprili 17,2026 na utakuwa Live #AzamSports1HD

#NBCPL #AzamFC #JKTTanzania #AzamFCJKTTanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *