Usafiri wa abiria maarufu daladala umekosekana jijini Tanga baada ya watoa huduma kugoma wakiishinikiza Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA iongeze kiwango cha nauli kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta kama anavyoeleza Mariam Shedafa.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)