Wakati wengi wakiwakwepa ndege wa porini, Rodgers Oloo Magutha wa nchini Kenya ameigeuza hofu hiyo kuwa dhamira ya kuokoa maisha ya ndege waliotelekezwa na kujeruhiwa.

Kutoka maisha ya mtaani hadi kuwa mtetezi wa viumbe hao, Magutha anatumia mapenzi yake kwa mazingira kuwahudumia na kuwapa nafasi ya kuendelea kuishi, akitoa mfano wa jinsi kujitolea kunavyoweza kuleta matumaini kwa viumbe wasio na sauti.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *