Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti haijakubaliana na mapendekezo ya Serikali ya kufanya mabadiliko katika Benki Kuu, ikieleza kuwa miongoni mwa sababu ni hatua hiyo kuondoa sharti la Benki Kuu kutokopesha Serikali na taasisi nyingine moja kwa moja.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Mashimba Ndaki, wakati akisoma taarifa ya kamati hiyo, kama anavyosimulia Joyce Mwakalinga.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *