VIWANJANI: “Kwasasa tunajua mpira wa miguu umebadilika zaidi kuliko kumtegemea mshambuliaji kinara pekee awe ndio mfugaji, hao pia ambao wanacheza karibu na goli la mpinzani wanatakiwa kuhusika katika magoli…”- Mchambuzi wa soka, @michaelhyera_ anasema mpira wa sasa unahitaji viungo wanyumbulifu ambao wana uwezo wa kufunga magoli bila kutegemea uwepo wa mshambuliaji kinara uwanjani.
Hyera ametoa pongezi kwa wachezaji viungo wazawa kwa kile ambacho wamekionesha kwenye NBC Premier League kwa misimu ya hivi karibuni.
Mwandishi: Katherini Shirima
Mhariri @allymufti_tz
(Feed generated with FetchRSS)