KNOCKOUT YA MAMA, VITA YA KISASI: “Sio mchezo mwepesi wala rahisi hata kidogo”
Mtangazaji wa @ufmradiotz na #AzamTV @gilbertjohannes anasema pambano la Aprili 24, 2026 kati ya Mtanzania, Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique, halitokuwa jepesi japo anaamini kwamba kama mkali huyo wa masumbwi atatulia, mambo yatakuwa mazuri kwake.
Gilbert afunguka yale anayoyashuhudia anapokuwa pembezoni mwa ulingo wakati mapambano yakiendelea.
Uhondo wote ni Aprili 24, 2026 pale ukumbi wa EACLC, Ubungo Dar es Salaam.
Imeandaliwa na @allymufti_tz
#VitaYaKisasi #KnockOutYaMama #HiiNiPersonal #Vitasa
(Feed generated with FetchRSS)