Hali ya usalama nchini Mali inaendelea kuwa tete baada ya mashambulio ya kushtukiza yaliyolenga kambi za kijeshi na maeneo muhimu, yakihusishwa na waasi wa Tuareg pamoja na makundi ya itikadi kali.
Hali hiyo imezua hofu kubwa miongoni mwa wananchi na kusababisha kuimarishwa kwa ulinzi nchini humo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)