Kampuni ya Azam Ice Cream imefungua duka jipya katika eneo la Tabata Kimanga, Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kusogeza huduma zake karibu na wateja wake.
Duka hilo lenye aina zote za ice cream za Azam, bidhaa mbalimbali za Azam pamoja na huduma za vyakula pia limetoa ajira kwa baadhi ya vijana.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)