Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na Kenya huku akitaja maeneo muhimu ya mashirikiano baina ya nchi hizo mbili yakiwa ni katika sekta za Kilimo,Nishati, masuala ya Ulinzi sambamba na masuala ya Uchukuzi na miundombinu.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)