Walimu wa shule ya msingi Kilimba na Baaba za mkoani Dodoma wamelalamikia unywaji pombe uliopitiliza wa baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule hizo na kusema unachangia watoto hao kujifunza unywaji huo.

Ahmad Ally ameandaa taarifa ifuatayo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *