Nani kaiona kesho yake? Bila shaka yoyote ‘hakuna’ na hilo ndilo unaloweza kuliona kwa namna maisha ya mkazi wa Chamazi Dar es Salaam, Zaituni Mwamia yalivyobadilika pale alipopata ajali mwaka 2021.
George Mbara amemtembelea na kuzungumza nae.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)