Viongozi wa jumuiya ya hifadhi ya Wanyamapori na misitu ya isawima iliyopo wilayani kaliua mkoani Tabora wameiomba serikali kuwachukulia hatua za haraka wanasiasa wanaodaiwa kuhamasisha wakulima na wafugaji kufanya shughuli zao ndani ya eneo la hifadhi hiyo hali inayofifisha juhudi za kitaifa za uhifadhi wa mazingira kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.

@deilahmomo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *