Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibengé, akiwa ameambatana na wajumbe wa benchi la ufundi la klabu hiyo, wamemtembelea kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacôme Zouzoua, aliyelazwa hospitalini kufuatia jeraha alilopata katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa jana.
Katika ziara hiyo, Kocha Ibenge ameambatana na Kocha Msaidizi, Anicet Kiazayidi na Kocha wa Makipa, Rody Mountaro.
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamSports

(Feed generated with FetchRSS)