Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameagiza kuanzishwa kwa dawati maalum la kuwahudumia wauzaji bidhaa nje ya nchi ambao wanalenga soko la China likiwa na wataalamu wenye uwezo wa kuzungumza lugha ya Kichina ili kurahisisha mawasiliano na kufungua zaidi fursa za biashara.
Kapinga ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano wa wadau kuhusu kutumia fursa ya kuuza bidhaa katika soko la China bila ushuru (Zero Tariff) ulioandaliwa na wizara hiyo kwa kushirikiana na Jamhuri ya Watu wa China- Tanzania.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)