Licha ya jitihada za serikali katika kuimarisha sekta ya ardhi, changamoto ya maeneo mengi kutopimwa pamoja na uelewa mdogo wa sheria za ardhi vimetajwa kuendelea kuwa chanzo cha migogoro isiyoisha, inayowasababishia baadhi ya wananchi kupoteza haki zao za msingi.

Mwanasheria wa Serikali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Salehe Hassan amebainisha hayo kwenye kampeni ya Samia Legal Aid iliyofanyika katika Kata ya Didia, ikilenga kuwapatia elimu wananchi juu ya masuala mbalimbali yanayohusu sheria.

Mhariri |Abuu Yusuf.

#HabariWikiendi #AzamNews #AzamTVUpdates #Ardhi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *