“… doa limetokea, sio nafasi ya Tanzania ambayo tumekuwa tukijivunia nayo miaka ya nyuma, kidiplomasia inamaanisha kwamba watu watakukumbuka pale ulipoanguka na kuweza kunyanyuka, na kusahau pale ambapo ukianguka utalala hapo hapo..kwa hiyo wajibu wetu sisi kama wadiplomasia wa Tanzania, ni kuhakikisha kwamba pale tulipoanguka tunajisahihisha na tunaendelea mbele ili kuhakikisha jina la Tanzania linarudi na kuzidi -Balozi Mindi Kasiga-Mkurugenzi Wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *