#HABARI: Miradi ya umeme inaendelea kuleta matokeo chanya nchini ambapo moja ya miradi hiyo ni Kinyerezi Complex, Vituo vya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia vinavyozalisha hadi Megawati 575 .
Umeme huu umeingizwa tayari kwenye gridi ya Taifa na kunasaidia kuimarisha hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme hususani jijini Dar es Salaam na maeneo jirani.
#Tunatelekezamiradi #MiradiyaTANESCO
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania