Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Gha…Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Gha…

Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ambayo ilitangazwa Mei 18, 2026.

Tumie Omary ana undani wa taarifa hiyo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *