Mwanahabari na mwandishi wa kipindi cha Uchumi wa Buluu, Betty Masanja, amesema vyanzo vya maji havitoi fursa ya uvuvi pekee bal…Mwanahabari na mwandishi wa kipindi cha Uchumi wa Buluu, Betty Masanja, amesema vyanzo vya maji havitoi fursa ya uvuvi pekee bal…

Mwanahabari na mwandishi wa kipindi cha Uchumi wa Buluu, Betty Masanja, amesema vyanzo vya maji havitoi fursa ya uvuvi pekee bali vina rasilimali nyingi zenye mchango mkubwa kiuchumi, ikiwemo mchanga wa baharini, majongoo bahari na madini mbalimbali.

Betty amefafanua kuwa mchanga unaopatikana baharini una madini muhimu yanayotumika katika uzalishaji wa bidhaa tofauti, zikiwemo malighafi za kutengenezea simu za mkononi na vifaa vingine vya kiteknolojia.

Amesema hayo kupitia kipindi cha #MorningTrumpet ikiwa ni sehemu ya kuelekea Siku ya Uhamasishaji wa Kudumisha Uhai na Uzalishaji wa Viumbe vya Majini.

✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
@goodluckpaul_mc
@balqis_njuki

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *