Kuyumba kwa biashara ya chai sambamba na ‘kujiongeza’ kwa wakulima duniani kunaweza kuendelea kulifanya zao hilo kupata soko linaloweza kuwapa ahueni wakulima nchini.
Emmanuel Kalemba amemtembelea mkulima wa zao hilo aliyeweka ubunifu na kuanza kuandaa na kuuza ‘Roasted Rolled Tea’.
Unaijua hiyo?
Fuatilia.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
