Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akiwa zarani wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma kwa uchungu ameagiza kukamatwa mtuhumiwa anayetajwa kuhusika na kitendo cha unyanyasaji wa kijinsia kwa mtoto wa miaka mitano.
Mkasa huu ulitajwa na Zaitun Issa mama mzazi wa mtoto huyo mbele ya waziri mkuu alipokuwa akisikiliza changamoto mbalimbali za wananchi katika wilaya ya Kondoa.
Baada ya maagizo hayo mama huyo amemshukuru waziri mkuu kwa kumpatia tabasamu trna.
(Feed generated with FetchRSS)
