#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Arusha mjini leo Agosti 26, 2025 alimpandisha jukwaani mkewe na kumtambulisha kwa wana-Arusha.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania