SIMBA SC | Kocha Msaidizi wa Simba SC, Seleman Matola amesema mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji Jumapili wiki hii utakuwa mgumu kwao kutokana na walivyo wapinzani wao.
Hata hivyo, Matola amesema kikosi chake kimejipanga kupata ushindi katika mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Mhariri | @rajjmsangi
#SimbaSC #NBCPL
(Feed generated with FetchRSS)
