NBCPL | Azam FC imecheza kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Azam Complex, na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliomalizika muda mfupi uliopita.
Azam FC sasa imejiimarisha katika nafasi ya tatu ikiwa na alama 49 ilizopata baada ya michezo 24 wakati TZ Prisons wakibaki nafasi ya 15 na alama 17 katika michezo 24 waliyocheza.
Baada ya mchezo huo Makocha wa timu zote mbili wamezungumzia mechi hiyo.
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamFC #TanzaniaPrisons #NBCPL
(Feed generated with FetchRSS)
