NBCPL | Walima alizeti kutoka mkoani Singida, timu ya Singida Black Stars imeitandika kipigo kizito cha mabao 4-1 Mbeya City FC kwenye Uwanja wa Airtel mkoani Singida.
Kwa matokeo hayo Singida Black Stars imejisimika nafasi ya nne kwa alama 41 wakati Mbeya City wakiendelea kupumua kwa shida kwenye nafasi ya 14 na alama 22.
Mhariri | @rajjmsangi
#NBCPL #SingidaBS #MbeyaCity
(Feed generated with FetchRSS)
