KOMBE LA DUNIA 2026: Mwalimu wa ‘Mathe’ @godlisten_muro7 anatukumbusha mkasa uliwahi kumkuta Ronaldo de Lima wa Brazil, siku moj…KOMBE LA DUNIA 2026: Mwalimu wa ‘Mathe’ @godlisten_muro7 anatukumbusha mkasa uliwahi kumkuta Ronaldo de Lima wa Brazil, siku moj…

KOMBE LA DUNIA 2026: Mwalimu wa ‘Mathe’ @godlisten_muro7 anatukumbusha mkasa uliwahi kumkuta Ronaldo de Lima wa Brazil, siku moja kabla ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 1998, baada ya kudaiwa kuumwa ugonjwa wa degedege.

Nini kilitokea siku ya fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 baada ya madaktari kusema kuwa asingeweza hata kutembea….???

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

(Imeandaliwa na @allymufti_tz)

#FWC26 #FIFAWorldCup WeAre26 FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *