CRAWFORD : Wizara ya Maliasili na Utaliii imempa Ubalozi wa hiari wa Utalii Bondia Mahiri kutoka Marekani, Terence Crawford kwa ajili ya kuvitangaza Vivutio vya Tanzania,
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji amemkabidhi Terence Ubalozi huo wakati Bondia huyo akiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti akiendelea na ziara yake ya kuvitembelea na kuvitangaza vivutio mbalimbali hapa nchini.
Mhariri | @rajjmsangi
#TerenceCrawford #mshikemshikeviwanjani
(Feed generated with FetchRSS)
