MKALI WA JIKO | Mwanzilishi, Mtayarishaji na Jaji Mkuu wa Mkali wa Jiko, Zainab Issa ametamgaza rasmi zawadi kwa mshindi wa kwan…MKALI WA JIKO | Mwanzilishi, Mtayarishaji na Jaji Mkuu wa Mkali wa Jiko, Zainab Issa ametamgaza rasmi zawadi kwa mshindi wa kwan…

MKALI WA JIKO | Mwanzilishi, Mtayarishaji na Jaji Mkuu wa Mkali wa Jiko, Zainab Issa ametamgaza rasmi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa msimu wa sita wa shindano hilo la mapishi.

“Mshindi atapata shilingi milioni tano (5, 000,000) pamoja na mafunzo kutoka Chuo cha Utalii”

Mkali wa Jiko imezinduliwa rasmi leo Mei 29 LIVE kupitia chaneli ya UTV.

#MkaliWaJiko

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *