Wadau mbalimbali wa masuala ya sheria na haki wakiwemo wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wameliomba Jeshi la Polisi kubadilika na kuendana na maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kulitaka kurejesha imani kwa wananchi na kuondoa kasoro ili kuwa kimbilio.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)