#AFCONU17: Mohamed Soloka anasema anaamini Serengeti Boys itafanya vizuri zaidi kwenye mchezo wa fainali, kwakuwa sasa kuna hamasa kutoka kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, lakini pia nguvu na sapoti ya wadau imeongezeka.
Anayeanza kuzungumza hapa ni Yekin Kai, ambaye anasema “…mpaka sasa hivi ni mabigwa”, bila kujali matokeo ya mchezo wa fainali.
Ni Tanzania dhidi ya Senegal, kesho Juni 02, 2026 saa 4:00 usiku LIVE kupitia #AzamSports2HD
#AFCONU17 #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #TanzaniaSenegal #LinakujaNyumbani
(Feed generated with FetchRSS)