KOMBE LA DUNIA | Hewani muda huu ni Marekani vs Ghana, moja kati ya mechi za kusisimua kutoka kwenye fainali za mwaka 2010 zilizofanyika nchini Afrika Kusini.

Ilikuwa ni mechi ya hatua ya 16 bora, Ghana wakishinda 2-1 na kutinga robo fainali.

Je, ni kipi unakikumbuka zaidi kutoka kwenye mechi hii?

NB: Kuanzia leo tutakuwa tunakuletea baadhi ya mechi za kihistoria za michuano ya Kombe la Dunia, na leo tumeanza na hii…

Uhondo huu unaupata kupitia chaneli ya #AzamSports2HD

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *