Mchambuzi wa masuala ya diplomasia, Godfrey Mchungu, amesema mazungumzo kati ya wataalamu wa uchumi kutoka Tanzania na Urusi yanatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi na biashara kwa pande zote mbili.

✍ Ibrahim Kilumbo
Mhariri | John Mbalamwezi
@goodluckpaul_mc
@balqis_njuki
#AzamTVupdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *