01.10.20251 Oktoba 2025 Umoja wa Ulaya umesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika ulinzi dhidi ya ndege zisizo na rubani barani Ulaya. Lakini Jumuiya hiyo imesema itachukua muda mrefu zaidi ili kujenga uwezo wa ulinzi madhubuti dhidi ya mashambulizi ya droni. https://p.dw.com/p/51M6q Post navigation Kabila: Safari ya urais hadi hukumu ya kifo DRC Haiti kupewa kikosi kikubwa zaidi kupambana na wahalifu