Akiwa nchini Urusi baada ya kukamilisha ziara yake Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na waandishi wa habari alioambatana nao, ambapo amewaeleza mafanikio ya ziara yake katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo chini ya ushirikiano wa nchi mbili.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *