Vijana Mkoani Kilimanjaro wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa programu zake mbalimbali za kuwainua na kuwawezesha kiuchumi, ikiwemo mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kwa maelekezo ya kuweza kuwafikia na kuwanufaisha Vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Wakizungumza na mwandishi wetu wa habari leo wanakikundi wa Quality printing kutoka Kata ya Mawenzi, Wilayani Moshi,Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa kupitia Mkopo walioupata wa Shilingi Milioni 123, wamesema mbali ya kunufaika kiuchumi, wamewezs pia kutoa ajira kwa vijana wenzao pamoja na kuisaidia jamii dhidi ya changamoto walizokuwa nazo.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *