MKUTANO MKUU WA WANAHISA NMB | Wanahisa wa Benki ya NMB wameridhia pendekezo la Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo la gawio la jumla la shilingi 610.15 kwa kila hisa kwa mwaka wa fedha 2025, hatua inayodhihirisha matokeo chanya ya utendaji wa benki hiyo na ukuaji endelevu wa biashara zake.
#AzamTVUpdates
Pendekezo hilo limetolewa leo kwa wanahisa kwa ajili ya kupitishwa katika Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa NMB unaofanyika jijini Dar es Salaam.

(Feed generated with FetchRSS)