KOMBE LA DUNIA 2026: “Matumaini ya Ghana yapo kwenye mabega yake…”
Mchambuzi wa soka @hinjojr akitoa mtazamo wake kuhusu kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Carlos Queiroz, kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazoanza kesho Juni 11, 2026.
Kumbuka mechi zote 104 za Kombe la Dunia utaziona kupitia chaneli za #AzamSports2HD na #AzamSports4HD kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza
#FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV
(Feed generated with FetchRSS)