VIWANJANI: Kwa mujibu wa mchambuzi wa soka @iddynonga_ JKT Tanzania wameshikilia nafasi yao wenyewe katika mbio za kumaliza nafasi nne za juu.
Nonga ameongeza kuwa timu hiyo kama itafanya vema katika mchezo wao wa NBC Premier League wa Juni 13, 2026 dhidi ya Singida BS itajiweka katika mazingira bora.
Mwandishi @katty_shirima
Mhariri @allymufti_tz
#Viwanjani @hassanahmedy_
(Feed generated with FetchRSS)