VIWANJANI: Mtangazaji wa soka @hassanahmedy_ adai ‘kutekwa’ na simulizi za mchambuzi wa soka @iddynonga_ kuhusu uhondo wa tamthilia kupitia #AzamTWO na #SinemaZetu.

Hassan anasema kwa sasa akiwa nyumbani kwake, ni mwendo wa kubadili chaneli tu na sasa amekuwa na uraibu wa kutazama tamthilia.

(Imeandakwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *