Wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu wametakiwa kuwa wabunifu katika kuanzisha na kuendeleza biashara ili fedha hizo ziweze kuleta tija, kuongeza kipato pamoja na kuwezesha urejeshaji wa mikopo hiyo kwa wakati.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu wakati wa ugawaji wa mikopo hiyo na kuwataka wanufaika kutumia fedha hizo kama ilivyokusudiwa.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *