Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani mkoani Kilimanjaro imezipiga marufuku taasisi na kampuni, viwanda kutiririsha maji taka kutoka maeneo ya uzalishaji na kuyaingiza katika vyanzo via maji safi sambamda na kuweka mifumo imara ya uondoshaji wa maji taka ili kuepuka kuchafua vyanzo hivyo.
Mkurugenzi wa Bonde la Maji la Pangani, Segule Segule amesema amekutana na wadau mbalimbali katika kikao maalumu kilicholenga kutekeleza jukumu la uhifadhi wa vyanzo vya maji.
Miongoni mwa washiriki wa mkutano huo waliozungumza nje ya ukumbi wa mkutano ni Hosea Mollel kutoka Shamba la Mkongwe Tanga na Bibiana Molambo aliyetokea Bonite Moshi.
Taarifa ya Enos Masanja.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)